Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,327 | Umetazamwa mara 5,555
Download Nota Download MidiKiitikio:
Bwana yu karibu na wote wamwitao, Bwana yu karibu na wote wamwitao x 2.
Mashairi:
1. Bwana yu mwema, kwa watu wake wote, na rehema zake zi juu ya kazi zake zote.
2.Kila siku, nitakuhimidi, nitalisifu jina lako milele na milele.
3. Bwana ndiye mkuu, mwenye kusifiwa, wala ukuu wake hautambulikani.
4. Bwana anafadhili, ni mwingi wa huruma, si mwepesi wa hasira ni mwingi wa rehema.