Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,884 | Umetazamwa mara 6,665
Download Nota Download MidiKiitikio: Ee Mungu nchi yote itakusujudia nakukuimbia, italiimbia jina lako wewe mtukufu x 2.
Mashairi:
1. Mpigie Mungu kelele za shangwe, imbeni utukufu wa jina lake.
2. Tukuzeni sifa zake mwambieni Mungu, matendo yako yanatisha kama nini!.