Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,688 | Umetazamwa mara 4,880
Download Nota Download MidiKiitikio:
Uwe kwangu mwamba wa nguvu, uwe kwangu mwamba wa nguvu nyumba yenye maboma ya kuniokoa x 2. Ndiwe genge langu na ngome yangu, kwa ajili ya jina lako, uniongoze unichunge.
Mashairi:
1.Nimekukimbilia wewe Bwana Mungu wangu, nisiaibike nisiaibike milele.
2. Unitegee sikio lako uniokoe hima, uwe kwangu mwamba mwamba mwamba wa nguvu.