Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,184 | Umetazamwa mara 4,933
Download Nota Download MidiKiitikio: Jongeeni mezani kwa chakula cha roho, chenye uzima tele toka mbinguni x 2.
Mashairi:
1. Jongeeni enyi wenye mioyo safi, Bwana Yesu ametuandalia chakula cha uzima.
2. Karibu kwa karamu yenye uzima,Bwana Yesu ametuandalia kushibisha roho zetu.
3.Meza yake Bwana ni meza ya upendo, Jongeeni tukashiriki sote karamu ya amani.