Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Mazishi | Mwanzo
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 3,043 | Umetazamwa mara 5,594
Download Nota Download MidiEE BWANA UWAPE AMANI
Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
Kiitikio: Ee Bwana uwape amani (uwape amani) wakungojao x 2
Mashairi:
1. Ili watu wawasadiki manabii wako
uwape amani wakungojao.
2. Usikilize sala ya mtumwa wako
na ya taifa lako Israel.
3. Uwahurumie ee Bwana watu wanaoitwa
kwa jina lako.
4. Hivyo binadamu wote duniani
watajua kuwa wewe ndiwe Bwana.