Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Ndoa
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 3,868 | Umetazamwa mara 7,323
Download Nota Download MidiATAWAACHA WAZAZI
Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini (0767847258)
17 June 2012,
Manzese DSM.
Kiitikio
Naye kijana atawaacha wazazi wake na kuambatana na mwenziwe,
nao watakuwa mwili mmoja.
Viimbizi
1. Mkapendane kama Kristu anavyolipenda kanisa lake.
2. Tunamuomba Mungu wetu apate wajaza baraka zake.
3. Sala na iwe nguzo yenu; upendo, msamaha, viwe nanyi.
4. Mkaufuate ule mfano wa ile familia takatifu.
5. Jueni ndoa haifunguki, iweni na nia, nia thabiti.