Ingia / Jisajili

Ee Bwana Yote Uliyotundea Umeyatenda Kwa Haki(Jp 26C)

Mtunzi: Respice Makoko
> Mfahamu Zaidi Respice Makoko
> Tazama Nyimbo nyingine za Respice Makoko

Makundi Nyimbo: Mwanzo

Umepakiwa na: RESPICE MAKOKO

Umepakuliwa mara 2,082 | Umetazamwa mara 6,230

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

EE BWANA YOTE ULIYOTUTENDEA KWA HAKI

( Mwanzo Jumapili 26 )

KIITIKIO

Ee Bwana yote uliyotutendea umeyatenda kwa haki, kwa kuwa kuwa sisi tumetenda dhambi wala hatukuzitii, wala hatukuzitii amri zako. ( Ulitukuze jina lako na kututendea sawa sawa na wingi wa huruma yako.x2 )

MASHAIRI

  1. Ee Mungu unirehemu sawa, sawa na fadhili zako, unioshe kabisa, na unitakase dhambi zangu zote.
  2. Maana mimi nimeyajua, makosa na dhambi zangu, nayo dhambi i mbele, i mbele yangu daima siku zote.
  3. Na tuwatukuze Baba, Mwana na Roho Mtakatifu, tangu mwanzo na sasa, na hata milele amina amina.

Maoni - Toa Maoni

Daudi Sep 23, 2024
Hongera kwa utunzi mzuri

Toa Maoni yako hapa