Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 5,001 | Umetazamwa mara 9,367
Download Nota Download MidiEe Bwana Unifadhili
Mtunzi: Dr. Basil Tumaini (0767 847258)
Kiitikio:
Ee Bwana, unifadhili, kwa maana ninakulilia wewe mchana kutwa.
Kwa maana wewe, Bwana, u mwema, Umekuwa tayari kusamehe, na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakuitao.
Mashairi: Zab. 86:3,7,8,13.
1. Wewe, Bwana, unifadhili, maana nakulilia wewe mchana kutwa.
2. Siku ya mateso nitakuita, kwa maana utaniitikia.
3. Katikati ya miungu hakuna (hakuna) kama wewe, wewe Bwana.
4. Maana fadhili zako (fadhili zako) kwangu ni nyingi (nyingi) sana.