Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 5,717 | Umetazamwa mara 10,005
Download Nota Download MidiEE BWANA MUNGU WETU UTUOKOE (Zaburi 106:47, 48)
Mtunzi: Dr. Basil Tumaini (0767 847 258)
Kiitikio:
Ee Bwana, Mungu wetu, utuokoe, Utukusanye kwa kututoa katika mataifa.
Mashairi:
1. Tulishukuru jina lako takatifu, tuzifanyie shangwe sifa zako.
2. Na ahimidiwe Bwana Mungu wa Israeli, tangu milele hata milele.