Ingia / Jisajili

Ee Bwana Upokee Sadaka

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 63 | Umetazamwa mara 156

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
S/A: (Ee Bwana)X2 upokee sadaka, ee Bwana pokea sadaka yetu iliyo mbele yako. T.B: Ee Bwana upokee (sadaka yetu)X2 ee Bwana pokea, pokea sadaka yetu iliyo mbele yako. 1. Malaika wa Bwana uchukue sadaka yetu uipeleke mbele ya uso wa Bwana. 2. Mkate na divai vimetoka shambani mwetu, uvigeuze mwili na damu ya Bwana. 3. Nayo maombi yetu yaliomo myoyoni mwetu, huyapokee Bwana na ukayajibu.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa