Ingia / Jisajili

Tunaleta Sadaka

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 46 | Umetazamwa mara 107

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Tunaleta sadaka yetu kwako Mungu Baba – Pokea sadaka yetu Mungu Baba ipokee; (ee Baba twakusihi) pokea Baba pokea (kwa upendo) pokea Baba pokea ; pokea sadaka yetu Mungu Baba ipokee, pokea sadaka yetu Mungu Baba uipokee. 2. Mkate ni ishara ya mwili wa Yesu Kristu – 3. Divai ni ishara ya damuwa Yesu Kristu – 4. Vyote tulivyopata ‘toka kwa juhudi zetu -

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa