Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 350 | Umetazamwa mara 1,543
Download Nota Download Midi1.Bwana nitakuimbia siku za maisha yangu
wimbo wa shukurani maishani mwangu kote
Kweli umedhihirisha wema wako kwangu mimi Bwana
Nitakushukuru Bwana x3 maishani mwangu.
2. Kanilisha kwa mwilio chakula changu cha roho
uzima wa milele nimeupokea sasa
3.Rohoni naburudika kwa hiyo damuyo Bwana
Ee Bwana ni asante kwa kuninywesha damuyo
4.Nitasema nini basi kwa wema wako ee Bwana
na nitaimba vipi nikushukuru ee Bwana