Ingia / Jisajili

Mbio Mbio Tukahubiri

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 47 | Umetazamwa mara 56

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mbio mbio wakristu tukahubiri, mbio mbio wakristu tukahubiri injili kwa mataifa yote; watu wapate kumjua Mungu. 1. Ndilo suluhu maishani mwetu – neno lake Bwana tulieneze kwa mataifa yote Ndilo suluhu manyumbani mwetu – 2. Ndilo suluhu kanisani mwetu – Ndilo suluhu kwa taifa letu – 3. Ndilo suluhu kwa duniani kote – 4. Ndilo suluhu tujulishe watu –

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa