Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 36 | Umetazamwa mara 52
Download Nota Download Midi1.
Shukurani zangu ee Mungu Baba zipokee; zipokee
Baba shukrani zangu zipokee X2
Ni asante Baba, ninakushukuru (shukuru)
shukurani zangu mwenyezi Mungu zipokee X2
2.
Ndiwe hunilisha pia ndiwe huninyweshaye –
3.
Nikiwa kwa shida ndiwe ninaye kimbilia –
4.
Kwa mafanikio mengi uliyonijalia –
5.
Kwa neema nyingi Baba ulizonijalia -