Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,321 | Umetazamwa mara 3,527
Download Nota Download MidiKiitikio:
Ee Bwana usiniache, usijitenge nami, fanya haraka kunisaidia x2.
Mashahiri:
1. Kwakuwa nakungoja wewe Bwana, wewe utajibu, Ee Bwana Mungu wangu.
2. Kwa maana nitaungama uovu wangu, nakusikitika kwa dhambi zangu.
3. Maana dhambi zangu zimenifunika kichwa, kama mzigo mzito zimenielemea mno.