Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,972 | Umetazamwa mara 5,610
Download Nota Download MidiKiitikio:
Maskini huyu alimwita Bwana, naye akamuitikia x 2.
Mashairi:
1. Nitamhimidi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani mwangu daima.
2. Katika Bwana nafsi yangu itajisifu, wanyenyekevu wasikie wakafurahi.
3. Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, aliondoa kumbukumbu lao duniani.
4. Walilia naye akasikia, akawaponya na taabu zao zote.