Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,200 | Umetazamwa mara 5,097
Download NotaKiitikio: Bwana Yesu moyo wangu wakutamani, (Bwana), njoo kwangu ee Bwana ninakukaribisha, njoo Bwana ukae nami daima x 2.
1. Karibu Bwana Yesu moyoni mwangu, njoo mwokozi ninakukaribusha.
2. Karibu Bwana Yesu ukae nami, njoo Bwana Yesu shinda ndani yangu.
3. Karibu Bwana Yesu uzima wangu, njoo unipe uzima wa milele.
4. Karibu Bwana Yesu unitakase, Njoo njoo Bwana Mungu wangu.