Ingia / Jisajili

Naamini Nitauona Wema Wa Bwana

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 1,131 | Umetazamwa mara 4,233

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Naamini ya kuwa, mimi, naamini ya kuwa nitauona wema wa Bwana, nitauona wema wa Bwana, katika nchi ya walio hai x 2.

Mashairi:

1.Bwana ni nuru yangu, na wokovu wangu, nimwogope nani?

2.Bwana ni ngome, ya uzima wangu, ni mhofu nani?


Maoni - Toa Maoni

Octavian Chikawe Oct 13, 2016
Ni wimbo mzuri sana kwa tafakari. Mara nyingi nikiwa mchovu na msongo wa mawazo, wimbo huu unanifariji sana. Hongera mtunzi.

Toa Maoni yako hapa