Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Noeli
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,399 | Umetazamwa mara 6,388
Download Nota Download MidiKiitikio:
Pangoni bethlehem amezaliwa mtoto, mwenye enzi na ufalme mabegani mwake x 2.
Mashairi:
1. Usiku wa manane amezaliwa mwokozi, pangoni bethlehem, tuimbe aleluya.
2. Wachunga waja mbio kwa mshangao horini, pangoni bethlehem, tuimbe aleluya.
3. Yosef na Maria wamtunza mtoto Yesu, pangoni bethlehem tuimbe aleluya.