Mtunzi: Dr. Basil B. Tumaini
> Mfahamu Zaidi Dr. Basil B. Tumaini
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. Basil B. Tumaini
Makundi Nyimbo: Shukrani
Umepakiwa na: Basil Tumaini
Umepakuliwa mara 1,078 | Umetazamwa mara 2,846
Download Nota Download Midi
TUMSIFU MUNGU WETU
Mtunzi: Dr. Basil Tumaini
Kiitikio: Tumsifu Mungu wetu kwa kinanda na kinubi, kwa sauti tamu tuziimbe sifa zake. Kwani Yeye atupenda, uhai atujalia, Yeye atulinda mchana na usiku.
Viimbizi:
1. Msifuni Mungu, mtenda makuu, kwa kadiri ya wingi wa ukuu wake.
2. Hutupa neema, hutupa fanaka, Yeye husamehe maovu yetu sisi.
3. Usiku, mchana, Yeye atulinda, atuepushia ajali nyingi sana.
4. Mwili na Damuye, Bwana ametupa, ili tuupate uzima wa milele.