Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo
Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio
Umepakiwa na: Cyprian Alphayo
Umepakuliwa mara 6 | Umetazamwa mara 5
Download Nota Download MidiEe Yesu, uje moyoni mwangu, Uwe kitulizo changu X2.
Mkate wa uzima shibisha roho yangu, nipate uzima wa milele.
Kinywaji cha roho burudisha moyo wangu, nipate amani moyoni mwangu.
1. Ee Yesu, chakula cha uzima, unilishe, uninyweshe nipate uzima.
2. Ee Yesu, Chemchemi ya uzima, ninyunyizie maji ya uzima nipate uzima.
3. Ee Yesu, ulijitoa sadaka kwa ajili yangu, ili nipate uzima wa milele.
4. Ee Yesu, pokea moyo wangu, nipe neema ya kukupenda milele Amina.