Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo
Makundi Nyimbo: Juma Kuu | Zaburi
Umepakiwa na: Cyprian Alphayo
Umepakuliwa mara 2 | Umetazamwa mara 0
Download Nota Download MidiEe mungu uisikilize sala yangu, wala usijifiche nikuombapo rehema x2
1.Unisikilize na kunijibu, nimetangatanga niklalama na kuugua
2.Kwa sababu ya sauti ya adui, kwa sababu ya dhuluma yake yule mwovu
3.Kwa maana wananitupia uovu, na kwa ghadhabu wananiudhi
4.Moyo wangu unaumia ndani yangu, na hofu za mauti zimeniangukia
5.Hofu na tetemeko limenijia, na hofu kubwa, hofu kubwa imenifunikiza