Ingia / Jisajili

Nena Bwana

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Miito

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 39 | Umetazamwa mara 94

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana, Nasikia sauti yako, Bwana ee ee ee naamini umeniita Bwana, Naitikia wito wako, Bwana ee ee ee naamini umesema nami (Nena Bwana nena, Nena Bwana, Nena, nena, nena. Nena kwa kuwa mtumishi wako anasikia.) x 2 1.Uliniumba Bwana, nikujue, (Bwana) nikupende, nikutumikie ili nifike kwako Mbinguni. 2.Umenituma Bwana, kuhubiri (neno) kwa mataifa, mataifa wakujue wafike kwako mbinguni. 3.Roho ya Bwana Mungu, I juu yangu (kwa sababu) Bwana Mungu amenipaka mafuta niwahubiri Injili. Hitimisho/Coda: Mimi ni mtumishi wako [(nipo) nipo tayari, nitendewe ulivyonena Mtumishi wako] x 3

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa