Ingia / Jisajili

Hata Mimi Nitakwenda Nitoe Sadaka

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 162 | Umetazamwa mara 273

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Hata mimi nitakwenda nitoa sadaka kwa Mungu wangu X2 {Sibaki (mimi) sibaki (mimi) sibaki kitini; nitakwenda mimi mwenyewe nikatoe sadaka} X2 1. Ninapokumbuka yote uliyonitendea, sina budi kukutotea ulichonijalia kam shukrani kwa wema wako Bwana. 2. Japo ninachokipata hakika ni kidogo, hakiwezi kulinganishwa na wema wako kwangu; nitatoa kadri ya uwezo wangu. 3. Mungu Baba mwenyezi nijalie ukarimu niwe nikitoa kulingana na uwezo wangu, pia niwasaisie maskini.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa