Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mama Maria
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 11 | Umetazamwa mara 37
Download Nota Download MidiMama yetu Maria mama wa neema, twakusalimu pokea zetu salamu
X2
1.
Pokea salamu zetu ewe malkia, wanao tunakusalimu.
2.
Pokea salamu zetu mama wake Kristu; wanao
tunakusalimu.
3.
Pokea salamu zetu mama wa kanisa; wanao
tunakusalimu.
4.
Pokea salamu zetu mama wa familia; wanao
tunakusalimu.