Ingia / Jisajili

Twende Wote Ndugu Tukatoe

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 51 | Umetazamwa mara 134

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{Twende wote ndugu tukatoe X2 sadaka kwa Bwana }x2 {Twende tukatoe X2 Twende wote ndugu tukatoe sadaka kwa Bwana}X2 1. Ni sadaka ya shukrani tunayokutolea, pokea ee Bwana sadaka yetu 2. Ni mazao ya mashamba, fedha, mifugo yetu ee Bwana sadaka yetu 3. Nafsi zet, nia zetu pia maombi yetu pokea ee Bwana sadaka yetu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa