Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari | Misa
Umepakiwa na: ELIJAH Mulei
Umepakuliwa mara 667 | Umetazamwa mara 2,285
Download Nota Download Midi1. Hili ndilo neno, neno lake Bwana
Linakuja kwetu neno lake Bwana
Jiandae ndugu rohoni kupokea neno, ni neno la Bwana Mungu, neno la uzima x2
2. Kweli ni chakula neno lake Bwana
Chakula cha roho neno lake Bwana
3. Kweli ndilo taa neno lake Bwana
mwanga maishani neno lake Bwana
4. Linatuletea neno lake Bwana
Uzima milele neno lake Bwana