Ingia / Jisajili

Wakati Sasa Umeshafika (Tukatoe Sadaka)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 42 | Umetazamwa mara 102

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Wakati sasa umeshafika wa kwenda mbele za Bwana tukatoe sadaka zetu X2 {Njoni twende tukatoe (twende sote tukatoe tukatoe)} X2 njooni twende tukatoe sadaka kwa Bwana 1. Twende tukatoe dhabihu kwake Bwana; tukatoe kwa moyo mnyoofu. 2. Twende tukatoe nadhiri kwake Bwana; tutimize kwa Bwana 3. Twende tukatoe sadaka ya shukrani; sote twende tukatoe shukrani.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa