Ingia / Jisajili

Ipokee Sadaka Yetu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 584 | Umetazamwa mara 2,015

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1.Uipokee Bwana sadaka yetu (Bwana) shukrani zetu Bwana uzipokee: (Ingawa ni kidogo ee bwana twakusihi ipokee pia uibariki) 2.Mkate na divai sadaka yetu (Bwana) twaleta kwako Bwana uibariki; 3.Tulivyopata sisi kwa jasho letu (Bwana) vyote ni vyako Bwana u vibariki; 4.Furaha na machungu mioyoni mwetu (Bwana) twaleta kwako Bwana uibariki:

Maoni - Toa Maoni

Elijah Jan 02, 2024
Asante kaka

Robert mmbaga Dec 10, 2023
Vizuri

Toa Maoni yako hapa