Ingia / Jisajili

Bwana Upokee Sadaka Yetu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 77 | Umetazamwa mara 160

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Bwana {upokee Bwana sadaka yetu; {japo ni kidogo uipokee, uitakase, uibariki (Bwana) ikupendeze Bwana}X2 1. Ee Bwana uipokee mbele ya kiti chako cha enzi; itakase, ibariki ikupendeze Bwana 2. Kidogo tulichotoa hata kama kweli hakifai – kitakase, kibariki kikupendeze Bwana

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa