Maneno ya wimbo
                Hosana, hosanna, hosanna mwana wa daudi X2
(Mwana wa Daudi hosanna, hosanna, hosanna) X2
1.	Mwana wa Daudi yu waja kwako kweli kwa upole – hosanna, hosanna
Japo yeye ni mfalme amebebwa naye mwana punda – hosanna, hosanna
2.	Watu wengi walitandaza nguo njiani apite – hosanna, hosanna
Na wengine wao walitandaza hata na matawi -– hosanna, hosanna
3.	Amebarikiwa yeye ajaye kwa jina la Bwana – hosanna, hosanna
Kweli yeye ndiye mfalme, mfalme wa Israeli – hosanna, hosanna
4.	Ewe Yerusalemu ufurahi na ushangilie -– hosanna, hosanna
Nasi wale tumpendaye yeye tumshangilie – hosanna, hosanna
            
                                    
                Nyimbo nyingine za mtunzi huyu