Ingia / Jisajili

Nimerudi Kwako Baba

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Kwaresma

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 40 | Umetazamwa mara 83

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Nimerudi kwako Baba, ninatubu makosa yangu, naomba msamahaX2 1. Kweli sistahili kuitwa mwana wako; mara ngapi nimelikana jina lako Bab? Ninatubu Baba nisamehe. 2. Kweli sistahili kuitwa mwana wako; mara ngapi nimewakosea majirani wangu? Ninatubu Baba nisamehe. 3. Japo wewe umenijulisha sharia zako, mara nyingi sijatimiza waajibu wangu; Ninatubu Baba nisamehe 4. Ee Mungu Baba Mwenyezi, Mungu wa huruma, nihurumie mimi mwanao mpotevu, nisamehe Baba nisamehe.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa