Ingia / Jisajili

Sasa Wakati Umefika (Sadaka)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 248 | Umetazamwa mara 489

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Sasa wakati umefika twende mbele ya Bwana Mungu tukamtolee sadaka yetuX2 Twende tukatoe sadaka kwa Bwana, shukrani zetu twende tukatoe x2 1. Tunakutolea mkate na divai fumbo la mwili na damu ya Kristu; tuunganishe na sadaka ya Kristu 2. Tunakutolea mazao ya mashamba, mifugo yetu, na vipaji vyetu; ee Mungu Baba twakuomba upokee. 3. Tunakutolea sadaka ya shukrani kwa wingi wa fadhili zako Bwana; uzidi kutubariki ee Mungu Baba.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa