Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 3,400 | Umetazamwa mara 7,975
Download Nota Download MidiKiitikio: Kama watoto wachanga, kama watoto wachanga waliozaliwa sasa yatamanini maziwa ya akili, yatamanini maziwa ya akili maziwa ya akili, yasiyoghoshiwa, ili kwa hayo mpate kuukulia wokovu aleluya aleluya x 2.
Mashairi:
1. Mtukuzeni Mungu ndiye shime yetu, mshangilieni Mungu wa Yakobo.
2. Pazeni sauti pigeni matari, kinanda chenye sauti nzuri na kinubi.