Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 865 | Umetazamwa mara 4,108
Download Nota Download MidiKiitikio: Malaika wa Bwana hufanya kituo, akiwazungukia wamchao, akiwazungukia wamchao na kuwaokoa x 2.
Mashairi:
1. Onjeni muone ya kuwa Bwana yu mwema, heri mtu yule anayemtumaini.
2. Mcheni Bwana enyi watakatifu wake, yaani wamchao hawaitaji kitu.
3. Nitamhimdi Bwana kila wakati, sifa zake zi kinywani kinywani mwangu daima.