Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 983 | Umetazamwa mara 4,599
Download Nota Download MidiKiitikio:
Sifuni enyi watumishi wa Bwana, Sifuni enyi watumishi wa Bwana, yatangazeni maajabu ya Mungu mbele ya mataifa yote x 2
Mashairi:
1. Tazama enyi watumishi wa Bwana, mhimidini ninyi mnaosimama usiku, mhimidini katika nyumba yake.
2. Painulieni patakatifu pake mikono yake, na kumhimidi Bwana Mungu wetu.
3. Msifuni Bwana kwa kuwa ni mwema, kwa maana sifa zake ni za milele milele.
4. Najua ya kuwa Bwana yu mkuu, na Bwana wetu yu juu ya miungu yote.