Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,153 | Umetazamwa mara 6,166
Download Nota Download MidiKiitikio: Njoo masiha wetu njoo, njoo kutukomboa x2.
Mashairi:
1. Sisi Wenye dhambi tunakulilia, njoo Bwana tunakungoja.
2. Twaona hatari ya kutokomea, njoo Bwana tunakungoja.
3. Sisi peke yetu hali yetu duni, njoo Bwana tunakungoja.
4.Tuletee shime ukatuokoe, njoo Bwana tunakungoja.