Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,002 | Umetazamwa mara 4,356
Download Nota Download Midi
Kiitikio:
Siku ya mateso yangu nitakuita, kwa maana utaniitikia x 2. Katikati ya miungu, hakuna kama wewe Mungu wangu wala hakuna mfano wa matendo yako x 2.
Mashairi:
1. Mataifa yote uliowafanya watakuja, watakusujudia wewe Bwana, watalitukuza jina lako watalitukuza jina lako.
2. Kwakuwa wewe ndiwe uliye mkuu, wewe ndiwe mfanya miujiza, ndiwe Mungu peke yako ndiwe Mungu peke yako.
3. Ee Bwana unifundishe njia yako, nitakwenda katika kweli yako kweli yako, moyo wangu ufurahi kulicha jina lako.