Ingia / Jisajili

Tunapokula

Mtunzi: Cyprian D. Alphayo
> Mfahamu Zaidi Cyprian D. Alphayo
> Tazama Nyimbo nyingine za Cyprian D. Alphayo

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: Cyprian Alphayo

Umepakuliwa mara 12 | Umetazamwa mara 41

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Tunapokula mkate huu, na kukinywea kikombe hiki, Tunatangaza kifo chako mpaka utakapokuja x 2 1.Utuokoe mwokozi wa ulimwengu, kwa kutuweka huru, (huru). 2.Utushibishe kwa mwili na damu yako, ili tupate uzima wa milele 3.Uje moyoni mwangu Bwana Yesu, uwe kitulizo cha roho, roho yangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa