Ingia / Jisajili

Mikononi Twabeba (Sadaka Yetu Twaleta)

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 56 | Umetazamwa mara 96

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
1. Mikononi twabeba ulichotujalia baba tunaleta – twaomba baba upokee sadaka yetu twaleta Upokee baba sadaka yetu twalwta X2 2. Mkate na divai, fedha hata mifugo yetu – 3. Nia zetu, shukrani, Maisha yetu na maombi -

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa