Ingia / Jisajili

Nitatoa Nini Mimi?

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo | Shukrani

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 310 | Umetazamwa mara 1,200

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{(Nitatoa nini mimi nikupe ewe Bwana/ nitatoa nini nikupe Bwana) (mimi) Nitatoa nini; (mimi) nitatoa nini nikupe mungu wangu kikupendeze} x2 1. Mema uliyonitendea kweli ni mengi sana; nitatoa nini kinacholingana na wema wako ewe Mungu wangu 2. Pumzi inayonipa uhai imetoka kwako; nitatoa nini kinacholingana na wema wako ewe Mungu wangu 3. Vyote nilivyo navyo mimi vimetoka kwako; nitatoa nini kinacholingana na wema wako ewe Mungu wangu

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa