Ingia / Jisajili

Mkombozi Leo Kazaliwa

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Noeli

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 58 | Umetazamwa mara 95

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Ni furaha, shangwe, nderemo duniani kote (kwa nini) mkombozi wa ulimwengu leo kazaliwa X2 (Tupige makofu, tuimbe kwa vigelegele, aleluya sote tuimbe nyimbo za furaha) X2 1. Leo ‘katimia yale yaliyo tabiriwa; tazama bikira ‘tamzaa mwana jina lake Emanueli. 2. Yeye ndiye kweli atakaye tuondolea ile dhambi ya asili; ni yeye njia, ukweli, uzima milele 3. Ee Bwana Yesu nijalie baraka zako, nifuate njia zako ee Bwana wangu niweze kufika mbinguni

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa