Ingia / Jisajili

Sote Twende Tukapige Kura

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mafundisho / Tafakari

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 27 | Umetazamwa mara 49

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Siku ya uchaguzi ikifika sote twende tukapige kura x2 Tuwachague viongozi wenye (hekima)X2, wenye kuweka nchi yetu mbele ya masilahi yao X2 1. Kwa amani sote twendeni, bila fujo tupige kura, matokeo tuyakubali, umoja wetu na udumu 2. Sote twende tuwachague viongozi wasiokuwa na tamaa, kiburi pia unafiki wala dhuluma 3. Ndugu yangu leo ujue, kura yako muhimu sana, basi nenda kapige kura, piga kura ni haki yako.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa