Ingia / Jisajili

Sadaka Yangu Naleta

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Sadaka / Matoleo

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 125 | Umetazamwa mara 257

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
{(Sadaka yangu naleta), X2 Naileta kwako Bwana naomba uipokee} X2 1. Ingawa ni kidogo - Naomba uipokee Naitoa kwa moyo - 2. Mkate na divai - Ee Bwana twazileta- 3. Mavuno na mifugo - Toka shambani mwetu - 4. Fedha nazo twaleta - Kazi ya jasho letu - 5. Nyoyo na nia zetu - Furaha na uchungu - 6. Shukrani zetu Bwana- Hata na sala zetu -

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa