Ingia / Jisajili

Mwili Na Damu Ya Yesu

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Ekaristi / Komunio

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 61 | Umetazamwa mara 125

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Mwili na damu ya Yesu ni chakula chenye uzima; wateule wake Bwana basi twende tumpokee; tushiriki kwa karamu ya Bwana x2 1. Ni karamu aliyotuachia Yesu Kristu; kweli ni mwili na damu yake; fumbo gani hili Yesu yu mzima 2. Kwa mwilio na damuyo uzima tumepata twakushukuru, Yesu asante; pendo lako kwetu halina mfano 3. Kwa mwilio na damuyo ukae ndani yetu nasi tukae ndani yako; roho zetu kweli zinakutamani

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa