Ingia / Jisajili

Jina Maria

Mtunzi: Elijah M Kilonzi
> Mfahamu Zaidi Elijah M Kilonzi
> Tazama Nyimbo nyingine za Elijah M Kilonzi

Makundi Nyimbo: Mama Maria

Umepakiwa na: ELIJAH Mulei

Umepakuliwa mara 35 | Umetazamwa mara 70

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo
Jina Maria kweli ni jina tukufu, lafurahisha linatutuliza; Malaika mbinguni wanaliimba (wakisema) ave, (ave Maria)x3 1. Tunalisifu jina lako mama, jina lako mama kweli ni tukufu 2. Kwa kumzaa mkombozi Yesu, ndiwe mama yetu, mama wake Mungu. 3.Utuombee kwa mwanao Yesu, tuombee mama tufike mbinguni.

Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa