Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Shukrani | Zaburi
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 2,057 | Umetazamwa mara 6,470
Download Nota Download MidiKiitikio:
Mshukuruni Bwana Mungu, Mshukuruni Bwana Mungu, kwa maana fadhili zake ni za milele, kwa maana fadhili zake ni za milele x 2
Mashairi:
1. Mshukuruni Mungu wa miungu, Mungu wa miungu, kwa maana fadhili zake ni za milele.
2. Mshukuruni Bwana wa mabwana, Bwana wa mabwana, kwa maana fadhili zake ni za milele.
3. Yeye peke yake afanya, maajabu makubwa, kwa maana fadhili zake ni za milele.