Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 783 | Umetazamwa mara 3,252
Download Nota Download MidiKiitikio: Njoo Bwana njoo utuokoe x 2.
Mashairi:
1. Utuhurumie, sisi wakosefu, njo Bwana njoo utuokoe.
2. Utufungulie, mlango wa mbingu, nakuyatakasa maovu yetu.
3. Nazo dhambi zetu, zinazotusonga, njoo Bwana njoo utuokoe.