Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi
Makundi Nyimbo: Majilio
Umepakiwa na: David Kacholi
Umepakuliwa mara 1,440 | Umetazamwa mara 4,668
Download Nota Download MidiKiitkikio: Njoo Masiha wetu njoo utuokoe x 2
Mashairi:
1. Uje mwana wa Maria njoo kutuokoa.
2. Sikawie njoo Bwana njoo kutukomboa.
3. Siku nyingi tunakungoja uje kutukomboa.
4. Dhambi zetu nnyingi sana zinatusonga sana.
5.Siwe na hasira Bwana wana wako twalia.