Ingia / Jisajili

Uturehemu Ee Bwana

Mtunzi: Dr. David S. Kacholi
> Mfahamu Zaidi Dr. David S. Kacholi
> Tazama Nyimbo nyingine za Dr. David S. Kacholi

Makundi Nyimbo: Kwaresma | Zaburi

Umepakiwa na: David Kacholi

Umepakuliwa mara 2,206 | Umetazamwa mara 5,509

Download Nota Download Midi
Maneno ya wimbo

Kiitikio: Uturehemu Ee Bwana, kwa kuwa tumetenda dhambi x 2.

Mashairi:

1. Ee Mungu unirehemu sawasawa na fadhili zako.

2. Kiasi cha wingi wa fadhili zako, uyafute makosa yangu.

3. Unioshe kabisa na uovu, nitakase dhambi zangu zote.


Maoni - Toa Maoni

Hakuna maoni kwenye wimbo huu

Toa Maoni yako hapa